Hivi naomba niulize kitu kimoja maana naona dhahiri hapa kuna walakini!!Nilisikia serikali imeagiza mtambo wa kuchapisha karatasi za wapigakura badala yakuagiza swali ni vipi serikali iliyopo madarakani itashindwa kudurufu hizo karatasi??Je Kutakuwepo na imani kuhusu hilo??Je Wapinzani wanajizatiti vipi kuweka waangalizi wasio hongeka??
Naomba wa dadavuaji mtujuze!:confused2:
Mkuu, usikate tamaa kiasi hicho!!!Uchaguzi na matokeo vyote viko tayari...inasubiriwa kuapishwa tu....ndio maaana JK anaongea mzaha tu kwenye kampeni...anajua keshashinda tayari....chakachua type