Mtambo huu unatumika maeneo yalio kosa huduma ya umeme mtambo huu wa mashine ya kunyolea na kichajisha simu unahamishika
*Mtambo huu unauwezo wa kunyoa watu 10-12 kwa ukubwa huu,
*Ukikosa wateja wa kunyoa utaweza kuchaji simu
*Unafaa kwa matumizi ya maeneo ambayo hayana umeme (Vijijini).
*Unatumia solar kama chanzo cha nguvu ya umeme,ndani yake kuna power bank inayotunza umeme.
*Kinyozi anaweza kusafiri na mtambo huu kwa kutumia baiskeli pikipiki au gari kwenda katika mashule,minada na vilabu
*Mtambo unauwezo wa kutanua panel wakati wa kunyoa na kuficha panel zake wakati wa kuasafirisha na unazitanua wakati wa kunyoa.
*Mtambo una mita ya umeme ambayo inasoma matumizi hivyo unaweza kutafuta kijana na ukamuajili kwa ajili ya kazi hiyo na mkawa mnalipana kulingana na matumizi.
*Gharama ya mtambo mmoja ni 500,000/-
Kama utahitaji hii au kuundiwa kubwa zaidi tuwasiliane
0629068815