Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misungwi hakuna ziwa?Mtambo wa kupeleka maji ya ziwa Victoria Shinyanga na Tabora upo Misungwi, ambapo wakazi wake hawana maji.
Hii nchi ina maajabu [emoji119]
Aisee!KItendawili.....Teeeega.
Bibi yangu anasuka mkeka lakini analala chini.
Jibu: Boga/Tikiti maji
Pamoja na mmea huu kushamili majani meengi lakini boga huambulia kulala chini ilihali majani yakielea juu.
wakazi wa Misungwi ni kama Maboga tu.