Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni danganya toto tu...umesahau kesho ni bajeti ya wizara ya nishati na madini? Watanzania tunadanganyika kirahisi!!!!!
Bado ni mambo ya magamba tu! Mi mpk nione mabadiliko tu!
Ni megawatt 35 bana; kwa muujibu wa mkurugenzi wa hao walioleta hiyo mitambo alipokuwa anaongea TBC1 habari. By the way nimependa hiyo avatar, yani kama akili ya JK + Ngereja + CCM = 0.Ni megawati 100 na siyo 1000 kama ulivyo sema wewe, na majenereta hayo yatafungwa mwenzi Agosti na bado mgao wa umeme upo pale pale.
Tanesco imekufa zamani inangojea kuzikwa tu. Kuna shirika gani la umma lenye uhai?Nia ya JK na serikali yake ya kifisadi ni kuua kampuni ya Tanesco kama alivyofanya BWM kuua NBC.