Mtambue Chifu/Mtemi wako

Mtambue Chifu/Mtemi wako

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Kwa kweli hii ni moja ya AFYA YA AKILI. Hii kalenda niliisahau kabisa kwani nilipoinunua (Mzizima) nikaipeleka Nyanyembe na kuondoka. Jana nimeipata.

IMG_20240209_124520.jpg
 
Kumbe chief wetu Musoma ndio WANZAGI nmefurahi sana kumfahamu, kwhyo huyo ndio alkuwa Chief wa Wazanaki na Wajita.
 
Hii kalenda ni uongo mtupu. Harriet Tubman alikuwa chief Tanganyika?
 
Kumbe chief wetu Musoma ndio WANZAGI nmefurahi sana kumfahamu ,kwhyo huyo ndio alkuwa Chief wa Wazanaki na Wajita.
Wanzagi na ukoo wa Nyerere walikuwa machifu Watiama wa Butiama. Wazanani walikuwa na machifu wengi. Wako kama walivyo wachaga. Hakuna chifu mmoja wa wachaga.
 
Back
Top Bottom