Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 537
Mnamo mwaka 1820 alizaliwa kijana mmoja jina lake nia John Mackwill uko Uingereza alikuwa wa ajabu maana alipotimiza miaka 20 yaani 1840 alianza kupigwa na radi bila kufa
Mwaka 1840/26/2 alipigwa na radi na ni siku aliozaliwa
Mwaka 1841/26/2 alipigwa na radi bila kufa hali iliendelea hivyo hadi mwaka 1850 akipigwa na radi bila kufa tarehe ile ile
Hatimaye Mack John alifariki kwa ajali ya farasi aliemtupa mtoni kwenye mwamba farasi alipogoma kuondoka alijinyajua na kimtupa John akafariki pale pale tar 26/2/1850 cha kushangaza siku hiyo hakupigwa na radi kama kawaida yake
Mnamo mwaka 1880 miaka 30 baada ya kifo yake ambayo ndio aliyokufa nayo tar 26/2/1880 kaburi lake likapigwa na radi na kulivunja