' Mtambuzi jipe moyo utayashinda'

' Mtambuzi jipe moyo utayashinda'

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Kama ilivyo kwa watanzania wengine hususani wakazi wa dar, huyu mwanajf mwenzetu ni mmoja wa waathirika wa mafuriko ya usiku wa kuamkia leo ktk makazi yake huko Tabata. Matatizo ni sehemu ya maisha yetu binadamu. Faraja na upendo ni kitu cha pekee kinachoweza kutufanya tujione wenye nafuu ktk shida na matatizo.

Tumuombee ndugu yetu nguvu na uvumilivu wa kukabiliana na halii hiii.

Nawasalimu wote!
 
Pole sana mtambuzi na wote waliokumbwa na haya mafuriko!
 
Kama ilivyo kwa watanzania wengine hususani wakazi wa dar, huyu mwanajf mwenzetu ni mmoja wa waathirika wa mafuriko ya usiku wa kuamkia leo ktk makazi yake huko Tabata. Matatizo ni sehemu ya maisha yetu binadamu. Faraja na upendo ni kitu cha pekee kinachoweza kutufanya tujione wenye nafuu ktk shida na matatizo.

Tumuombee ndugu yetu nguvu na uvumilivu wa kukabiliana na halii hiii.

Nawasalimu wote!

Pole sana Mtambuzi nadhani mwaka huu haukuwa mzuri sana kwako kutokana na matatizo yaliyokukumba. Jipe moyo.
 
Tunamuombea kwa M'Mungu amtie wepesi katika kipindi hiki kigumu...Pole sana mtambuzi.
 
Back
Top Bottom