Pole sana ndugu Mtambuzi... Pamoja sana.
pole sana
huu mwaka umekuonea sana
pole
Pole sana Mtambuzi nadhani mwaka huu haukuwa mzuri sana kwako kutokana na matatizo yaliyokukumba. Jipe moyo.
Wanasema majaribu ni mtaji ................................
Pole sana Mtambuzi...mwaka huu umeumaliza vibaya! Nimejaribu kufuatilia matukio yaliyokukumba ndani ya hii miezi michache na mengi ni ya kusikitisha! Usikate tamaa, Mungu yupo nawe.
Wanasema majaribu ni mtaji ................................
Wanasema majaribu ni mtaji ................................