' Mtambuzi jipe moyo utayashinda'

Pole sana mkubwa ila kumbuka matatizo yakizidi sana ujue neema inakaribia
 
Mtambuzi pole sana Mkuu,
Pole sana,
Pole sana wewe na familia yote,
ee MUNGU mtambuzi anasema 'sasa imetosha niponye na mabaya yote'.
 

Pole sana Baba,

Nimefurahishwa sana na ujasiri wako,
Ninashukuru kwa kutupa short story ili nasi tuwe na uvumilivu na mitihani tunayoipata, ni kweli tukipata baadhi ya mitihani tunakata tamaa kabisa na kila kitu na tunaona kwamba sisi ndio tulioonewa, lakini kumbe wapo baadhi ya watu miongoni mwetu wana kila mitihani lakini wanakuwa na subra na kuhimili hiyo mitihani, hata MOLA wetu wa REHMA, anatuambia katika vitabu vyake kuwa, "Hampi mja mtihani isipokuwa anajua SUBRA yake iko vipi, na mtihani huo ataushinda vipi", na wale waliokuwa na subra na kutegemea rehma kutoka kwa yeye aliyejuu ndio mfano wako, na wale wanaoshindwa ndio haooooooooooooo wanakimbilia kwa sangoma.
Hii inatupa faraja ya kwamba na sisi tujifunze kuwa na subra ktk mitihani tunayopata sio tupige kelele '''''MUNGU weeeeeeeee nimekukosea nini mie, kwa nini ulinileta duniani niteseke''''''''''.

Nina imani kwenye vile ulivyopoteza MUNGU atakuletea vingine vilivyo bora.





 
pole sana ila laptop/simu yako najua bado unayo kwa ajili ya jf
 
Baba yangu, pole sana MUNGU atakupoza na machungu haya. Tupo pamoja Baba yangu.
 
Matukio kama hayo ni mitihani kwa Mungu, yanapima imani. Jipe moyo mungu yu pamoja nanyi, epuka usije ukamkufuru muumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…