Mtambuzi;You are too bias.

Ritakahama

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
758
Reaction score
409
Najaribu kutafuta neno gani la kitaalamu litakufaa silipati naona shizofenia halifai.Yani kaka mada zako huku ni ke tu mara wanawake wanene mara cjui niini,na kama umegundua karibu zote unaishia kusema"haya kina dada karibuni"hahaha nafikiri saikologikali there is problem somewhere someplace.Nakuomba basi kuanzia kesho tuletee masahibu ya me.Au?somo zuri latoka pande zote ati.
 
Hapa tunaelimishana tu jeneneke (with fun of course), hakuna cha kuwa bias wala nini. We leta tu hizo za me tutachangia tu, wala usijisikie vibaya!

Pia usisahau kwamba wanaume wana hamu ya kujua zaidi kuhusu wanawake, so Mtambuzi kama mwanaume ndo maana mada zake nyingi zinahusu wanawake. Vilevile wanawake wana hamu zaidi ya kujua kuhusu wanaume, so binafsi sishangai kuona mada zao nyingi zinahusu wanaume. Hii yote ni ktk kujifunza, kujuana vizuri, na kurekebishana ili tuweze kuwa na long lasting relatioships!
 

Waarabu wa Pemba hutambuwana kwa vilemba! Wengi humu hatujangamuwa hilo lakini mwanamme aelekeze macho yake kwa mwanamke, sioni tatizo kama ameamuwa kuyataka ya unyagoni lazima awaulize hao, ndio wachezaji!
 
tatizo lako ugeni na papara... Mtambuzi is we balanced but you cant see it coz you were biased from the first thread ya mtambuzi... THINK ABOUT IT
Mate, nilistuka kidogo hapo kwa red lakini nlivoangalia muda uliopost nikajua sababu. Punguza kuhamisha meza....Ngumi jiwe.
 
Me kuandika mvivu halafu 'mgeni sijui umemaanisha nini ni too wide"nipo umu long before ila am too lazy in writting
 
Kikubwa ninachoweza kusema ni kuwa bro Mtambuzi unawakuna wengi!..
Kitendo cha watu kujadili Mada zako aidha kwa kuangalia 'mantiki' au 'kasoro' ni ushahd tosha kuwa 'ze message iz rocking'!!
 
Last edited by a moderator:
heeeeeeeeeee yamekuwa hayo?

job true true.....
Mtambuzi shukuru hatujuani humu, la sivyo ungepopolewa mawe mtaani bila kujua chanzo ni nini.......loh....


anyway,
mbona topic kuhusu wanaume anaziletaga sana tu humu? au kwa vile umejiunga tarehe : 5th July 2012????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…