Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
Aaa lakini afanye mix that is too much man[/QUOTE
Kweli inakuitaji mda kumuelewa mtoa mada huyu.
Mapenzi yanapande mbili,imeguza moja naona povu halikukauki,ni mada au uzi upi uliokugusa na kupelekea kufungua uzi huu?
???????? ........ !!!!!!!!!!!!!!!!
napenda maingrishi lol
Fikra za mtu ni zile zile hata ningejiunga 2006.Mawazo yangu huru ambapo hakuna mtu anayeweza kuzuia kufikiri kwa binadamu ndo kumenituma kuandika.Halafu who told you kila tarehe mtu anayoanza kuandika huku ndo ameingia?!vinginevyo hilo neno hapo chini(guest) lisingekuwepo
Najaribu kutafuta neno gani la kitaalamu litakufaa silipati naona shizofenia halifai.Yani kaka mada zako huku ni ke tu mara wanawake wanene mara cjui niini,na kama umegundua karibu zote unaishia kusema"haya kina dada karibuni"hahaha nafikiri saikologikali there is problem somewhere someplace.Nakuomba basi kuanzia kesho tuletee masahibu ya me.Au?somo zuri latoka pande zote ati.
Me kuandika mvivu halafu 'mgeni sijui umemaanisha nini ni too wide"nipo umu long before ila am too lazy in writting
Huwezi kuhudumia soko zima, lazima uwe na customers wako unaowatarget na utakaoweza kuwaserve. Hebu pia pitia profile yake, hata za wanaume zipo.