MTANANGE Simba V/S Coastal Union direct report

Status
Not open for further replies.
masharo kwenye mpira mmmmmm?

Lazima watakuwa wanakanyagwa tu
 
acha ushabiki mandazi eti simba inajinasua isishuke daraja
 
Sio Simba vs Coastal bali ni Coastal Vs Simba

we shuleni mwalimu wako wa hesabu alipatata tabu kweli,

kwa kutumia elimu niliyonayo ngoja nijaribu kukufundisha,

mtu akikwambia 2 mara 3, ni sawa na mtu akikwambia 3 mara 2 umenielewa?

therefore, SIMBA VS COASTAL = COASTAL VS SIMBA.
 
Mkuu SIMBA VS COASTAL not equal to COASTAL VS SIMBA, considering the hosting situations (home and away fixtures) which are considered to be effective to the beautiful game of football, i can assure you that SIMBA VS COASTAL will never be equal to COASTAL VS SIMBA. lol
 
we shuleni mwalimu wako wa hesabu alipatata tabu kweli,

kwa kutumia elimu niliyonayo ngoja nijaribu kukufundisha,

mtu akikwambia 2 mara 3, ni sawa na mtu akikwambia 3 mara 2 umenielewa?

therefore, SIMBA VS COASTAL = COASTAL VS SIMBA.

Kila Mahali Kuna Lugha Zake Ambazo Zinaleta Maana Mahali Husika. Unaposema SIMBA VS COAST Hapo Mtu Wa Soka Anaelewa Simba Wapo Nyumbani Na Coast Ni Wageni. Hivyo Elimu Yako Sio Ya Kisoka, Uliye Mquote Yupo Sahihi.
 
Duh kesho nitakuwa kwenye tv tujionee.

Mechi yenyewe haitakuwa na mvuto kwa sababu wanacheza mama simba na watoto wa simba. Mchezo wa kesho kati ya mama na mwana utakuwa wa sare.
 
ni kwel gem nzur itakua jpil i think watu wataenjoy kuona hiyo gem
 
Mechi yenyewe haitakuwa na mvuto kwa sababu wanacheza mama simba na watoto wa simba. Mchezo wa kesho kati ya mama na mwana utakuwa wa sare.

Kila mtu anayo haki ya kutoa maoni anayoona yanafaa, kwa hiyo ayo ni maoni yako.
 
we shuleni mwalimu wako wa hesabu alipatata tabu kweli,

kwa kutumia elimu niliyonayo ngoja nijaribu kukufundisha,

mtu akikwambia 2 mara 3, ni sawa na mtu akikwambia 3 mara 2 umenielewa?

therefore, SIMBA VS COASTAL = COASTAL VS SIMBA.

We ndo hujui unachokisema ukisema simba vs coastal watu wataenda taifa lakin ukisema coastal vs simba wadau watajua ni mkwakwani Tanga. Hio ni tofaut na mahesabu yako
 
youngsharo umenifurahisha sana mkuu, umewamufu peke yako. Safi sana mikia wameangukia pua kabla hata ya mechi. Pole yao
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…