Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Kaka umeona na bado, kipindi cha pili wanakamilisha kiganja cha pili.
Sifanyi huo ujinga jamaa wakirudi dharaj nyingi wapigwe ti hata 11Utaifa mbele .... kwa Mara ya kwanza
Ahly italizwa kwao na mbele ya halaiki ya waMisri !!
SIMBA. Nakuombea Dua'a ushinde!!
5 tayari Hizo
Zisizidi 5 tu jamani, hatutaki aibu ya Taifa.
Sent from my iPhone using JamiiForums