Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Huu ni udhalilishaji kwa taifa, kipindi cha kwanza 5-0, je kipindi cha pili?? nasemaje, SIMBA Kamuombeni radhi aliewaita UNDERDOG
 
Yanga ututoe aisee sisi timu yetu mbovu ni ombaomba bado. Ila mikia wanajisifu mno

[emoji375][emoji375]
 
Jaman tuwekane sawa kidogo...hiki kipigo ni aibu kwa simba sio kwa nchi
 
Dah, timu kama Simba iwe kama Simba. Sio haya mambo ya 5-0. Isimame.
 
Moja - wahed
Mbili - Ithnan
Tatu - Thalatha
Nne - Arba
Tano - Khamsa
Sita - Sitta
Saba - Sabah
Nane - Thamaniya
Tisa - Tissah
Kumi - Asharah

kama zitazidi kumi mtaniambia niwatajie tena
NAISAVE KWA MATUMIZI YA BAADAE
 
Mzee baba na wewe ni frog [emoji196]
Hapana mkuu mimi nashangilia tu .... huwaga nafurahi pindi hizi timu zote mbili (simba na yanga) .... kwa sababu wana miaka mingi kwenye hii tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu ...lakini wameshindwa kuwapatia mashabiki wao kile ambacho wana stahiki ....... binafsi sinaga uzalendo na vitu vibovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtoto wa kike hum nilimwambia atapata stress nafikir habar anayo

[emoji375][emoji375]
 
Bado najiuliza huyu kocha anafundisha nn yan mazoezin yan sipati majib kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…