Mtandao gani una huduma bora Tanzania?

Mtandao gani una huduma bora Tanzania?

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Mtandao gani wa simu Tanzania una masiliano Mazuri na Uhakika Tanzania au Ambao unaongoza kua na Huduma nzuri na Zenye Uhakika kwa mtumiaji.
 
Mi natumia Airtel tu huwa hawali hovyo bando ukiweka gb1 unaona kabisa unavyotumia hadi inaisha, hawa wengine unshtuka tu mb zimeisha na data hujawasha.
 
Back
Top Bottom