Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,726 Reaction score 3,391 Jun 26, 2023 #1 Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jun 26, 2023 #2 Wakili wa shetani said: Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia? Click to expand... Wakili wa shetani hetani duh sijui uliwaza nn kujiita hvo
Wakili wa shetani said: Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia? Click to expand... Wakili wa shetani hetani duh sijui uliwaza nn kujiita hvo
Themann JF-Expert Member Joined Apr 15, 2022 Posts 3,842 Reaction score 16,058 Jun 26, 2023 #3 IG ni pazuri Facebook vitoto vingi siku hizi.