Mtandao upi uko Poa kwenye internet mikoani kati ya Vodacom na Tigo

Mtandao upi uko Poa kwenye internet mikoani kati ya Vodacom na Tigo

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,715
Reaction score
8,058
Habari Wana JF,
Nataka kuwa B2B (Business to Business) customer kwenye moja ya mitandao niliyoitaja hapo juu ambapo nitakuwa nanunua kifurushi kila mwezi. Huwa natumia sana kwenye internet. Naomba kufahamu ni mtandao gani mzuri sana kwenye internet. Nipo Mbeya
Natanguliza shukrani wadau
 
Tigo kwa mbeya inakashikashi kidogo, na kuna baadhi ya maeneo umeme ukikatika na mtandao unatoweka.

Halotel iko vizuri ila sehemu za bush utaichukia, voda ndo mtandao ulio popular sana mbeya lakini mabando yake ni gharama mno.
 
VODA gharama kwakweli
 
Tigo kwa mkoa wangu iko poa sana hata 4g yao ina cover sehemu kubwa
 
Kutumia tigo ni kujitafutia vidonda vya tumbo na mapunye.
Nimewahi kuisaga saga laini yao mpaka ikawa majivu kwa sababu ni zero na ovyo kabisa.
Kama unajiweza kifedha tumia voda.
 
Kutumia tigo ni kujitafutia vidonda vya tumbo na mapunye.
Nimewahi kuisaga saga laini yao mpaka ikawa majivu kwa sababu ni zero na ovyo kabisa.
Kama unajiweza kifedha tumia voda.
Kwa iyo uliikomoa kampuni siyo
 
Back
Top Bottom