VODA gharama kwakweliTigo kwa mbeya inakashikashi kidogo, na kuna baadhi ya maeneo umeme ukikatika na mtandao unatoweka.
Halotel iko vizuri ila sehemu za bush utaichukia, voda ndo mtandao ulio popular sana mbeya lakini mabando yake ni gharama mno.
VODA gharama kwakweli
Kwa iyo uliikomoa kampuni siyoKutumia tigo ni kujitafutia vidonda vya tumbo na mapunye.
Nimewahi kuisaga saga laini yao mpaka ikawa majivu kwa sababu ni zero na ovyo kabisa.
Kama unajiweza kifedha tumia voda.