Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
They have wost internate service has never seen it in the worldHuu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa.
Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la kiufundi mnashindwa nini kutoa taarifa kwa uma?
Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa.
Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la kiufundi mnashindwa nini kutoa taarifa kwa uma?
Wanarudisha pesa zao walizopoteza data zilipozimwa Oktoba 2020Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa.
Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la kiufundi mnashindwa nini kutoa taarifa kwa uma?
Dawa yao ni kuwakimbiaHawa Mimi niliwaona WA ajabu baada kuripoti namba fulani fulani zilizokuwa zinatuma SMS za utapeli lkn matokeo yake wakafunga line yangu kwamba haijasajiriwa, nilazimika kukaa bila mawasiliano Kwa 48 baadae ndo wakafungua, nilitamani kuwashitaki lkn baadae nikaona isiwe taabu