Mtandao wa halotel umeanza kufyonza data bundle kama kunguni

Mtandao wa halotel umeanza kufyonza data bundle kama kunguni

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
1,777
Reaction score
2,040
Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu, Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi.

Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
 
QUOTE="The Humble Dreamer, post: 34913975, member: 331067"]
Njoo Vodacom kama umejipanga kiuchumi. Huku hakuna mteremko kama huko halotel. Kama unataka voda, hakikisha kila siku unaingiza hela.
[/QUOTE]
Wewe unaingiza ngapi kila siku
 
Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu,
Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi.
Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
Niliacha kutumia baada ya kuachana na demu mwenye Halotel
 
hao ni wahuni alafu network yao ya kidwanzi yani 3G yao ni bora na E ya voda au tigo,mtu unanunua Gb zako afu mtandao upo slow na ukiwa afadhali unastukia zimekata tu
 
Back
Top Bottom