Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
ila wana tatizo la kimfumo nimefuatilia hela yangu miezi minne ukipiga wanakuambia itarejea baada ya saa72 na zikiisha wanaongeza tena 72 sijui wana tatizo ganiWafate ofisi yao kuu ya HaloPesa,, watakushughulikia chap
Ukipiga simu ndo wanakuzungusha.... Wafuate ofisini kwao kule bamaga watakushughulikia..ila wana tatizo la kimfumo nimefuatilia hela yangu miezi minne ukipiga wanakuambia itarejea baada ya saa72 na zikiisha wanaongeza tena 72 sijui wana tatizo gani
Airtel kawaida unafanya muahamala wanasema imefeli alafu muda huo huo mesag inarudi imethibitishwa ukijichnganya unafanya miwili bila kutarajia na yote inakubalikaKomaa nao