Una tatizo gani ndugu mteja?
Tuna laaaana Mkuu. Hata TANESCO nako Ukataji wa Umeme umeshamiri ili mradi tu tununue mafuta na Majenereta.Nineuliza watu zaidi ya 4Sehemu tofauti wanaitumia Mtandao wa Internet TTCL uko Chini Mnooo Tangu Jana,Ni Either unahujumiwa kwa sababu za Kibiashara au Kuna Tatizo,Makampuni Mengine ya Mtandao hii Kitu ikitokea tuu...Utaona Meseji za Samahani zinakuja na wanakutaarifu kuwa kulikuwa na Tatizo Wako Kibiashara zaidi,Lakini TTCL no body cares!
Ahsante Mhudumu wa TTCL japo wewe umenisikiliza[emoji851][emoji3061]
Bodi ingeajiri tu private marketing firm iendeshe kazi zao nadhani tungeona wakipiku kampuni nyingi sana maana wangelipwa kulingana na milestones. Ila hawa wanaojua mshahara upo whether kampuni ina faida au hasara usitegemee itakua na ufanisi.Nineuliza watu zaidi ya 4Sehemu tofauti wanaitumia Mtandao wa Internet TTCL uko Chini Mnooo Tangu Jana,Ni Either unahujumiwa kwa sababu za Kibiashara au Kuna Tatizo,Makampuni Mengine ya Mtandao hii Kitu ikitokea tuu...Utaona Meseji za Samahani zinakuja na wanakutaarifu kuwa kulikuwa na Tatizo Wako Kibiashara zaidi,Lakini TTCL no body cares!
Ahsante Mhudumu wa TTCL japo wewe umenisikiliza[emoji851][emoji3061]