Mtandao wa Kenya wasema Yanga Africans inatoka Ghana

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mtandao wa soka25east wa kenya umesema timu ya yanga iliongia makundi africa inatoka ghana
1463639541530.jpg
1463639550531.jpg
 
jamaa wanaoendesha huo mtandao ni mbulula, eti Tusnia....ndo nini?

waache soka wadeal na mademu tu ndo wanachoweza
 
Tushawazoea hao mi huwa nawapuuza tu maana kila jema la Tanzania ni Lao.
 
ukiwa mkenya lazima uwe na degree ya ujinga hapo hujajiongezea bado kadri unavyokua
Kaka Matusi ya nini! Sio kila hoja lazima kuwe na mihemuko..... Hili kwa kweli ni JANGA la kitaifa na sio MILA NA DESTURI ZA KITANZANIA..... Toka vikundi na Magenge ya wanaharakati yaruhusiwe yamehamasisha utamaduni usioukuwa na staha.... UKAWA/CHADOMO...hacheni mambo haya... Rudini kwenye misingi ya Kitanzania iliyowekwa na CCM ( Afro shirazi + TANU)
 
sasa wewe una Phd ya ujinga
 
sasa wewe una Phd ya ujinga
Angalia ulivyokuwa na mapungufu Kijana! ulikuwa unamaanisha Phd AU (Ph.D aka DPhil. It is also called a Doctorate of Philosophy,)
You are very Low....wewe kama ni mtanzania utakuwa ni LOFA na mfuasi wa UKAWA/CHADOMO!!!
 
Doctorate means Doctor of Philosophy degree and thus Doctorate of Philosophy is not correct!

Doctor of Philosophy viz. Philosophiae Doctor is abbreviated as PhD or Ph.D. and not Ph.D for more information please visit:

PhD

Wakenya ni ndugu zetu na watani zetu, tuwapuuze tu!
 
Kwa jinsi hili litimu lilivyo libovu na linavyobebwa bebwa na marefa, ingekua ni aibu kwa Tanzania kulitaja hilo litimu lipo Tanzania. Mnyama pekee ndo anajulikana Kimataifa. Hahahhahahhahahhaha huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Kaka Matusi ya nini! Sio kila hoja lazima kuwe na mihemuko..... Hili kwa kweli ni JANGA la kitaifa na sio MILA NA DESTURI ZA KITANZANIA..... Toka vikundi na Magenge ya wanaharakati yaruhusiwe yamehamasisha utamaduni usioukuwa na staha.... UKAWA/CHADOMO...hacheni mambo haya... Rudini kwenye misingi ya Kitanzania iliyowekwa na CCM ( Afro shirazi + TANU)
sasa ukawa na CCM wamefata nn huku?
 
Back
Top Bottom