Mkuu hawana shida na sisi... wametuona tupo tumelala fofo usingizi mziiito...Hiv wakenya wanashida gani na sisi.. Mi naona tushakua threat Kwao so wanajitahidi kupotoshaa
Kaka Matusi ya nini! Sio kila hoja lazima kuwe na mihemuko..... Hili kwa kweli ni JANGA la kitaifa na sio MILA NA DESTURI ZA KITANZANIA..... Toka vikundi na Magenge ya wanaharakati yaruhusiwe yamehamasisha utamaduni usioukuwa na staha.... UKAWA/CHADOMO...hacheni mambo haya... Rudini kwenye misingi ya Kitanzania iliyowekwa na CCM ( Afro shirazi + TANU)ukiwa mkenya lazima uwe na degree ya ujinga hapo hujajiongezea bado kadri unavyokua
sasa wewe una Phd ya ujingaKaka Matusi ya nini! Sio kila hoja lazima kuwe na mihemuko..... Hili kwa kweli ni JANGA la kitaifa na sio MILA NA DESTURI ZA KITANZANIA..... Toka vikundi na Magenge ya wanaharakati yaruhusiwe yamehamasisha utamaduni usioukuwa na staha.... UKAWA/CHADOMO...hacheni mambo haya... Rudini kwenye misingi ya Kitanzania iliyowekwa na CCM ( Afro shirazi + TANU)
Angalia ulivyokuwa na mapungufu Kijana! ulikuwa unamaanisha Phd AU (Ph.D aka DPhil. It is also called a Doctorate of Philosophy,)sasa wewe una Phd ya ujinga
Angalia ulivyokuwa na mapungufu Kijana! ulikuwa unamaanisha Phd AU (Ph.D aka DPhil. It is also called a Doctorate of Philosophy,)
You are very Low....wewe kama ni mtanzania utakuwa ni LOFA na mfuasi wa UKAWA/CHADOMO!!!
Sasa wewe na yeye mnatofauti gani kwenye uandishi?Duh! mara Ghana mara tunis uyo muhandishi ovyo kweli
sasa ukawa na CCM wamefata nn huku?Kaka Matusi ya nini! Sio kila hoja lazima kuwe na mihemuko..... Hili kwa kweli ni JANGA la kitaifa na sio MILA NA DESTURI ZA KITANZANIA..... Toka vikundi na Magenge ya wanaharakati yaruhusiwe yamehamasisha utamaduni usioukuwa na staha.... UKAWA/CHADOMO...hacheni mambo haya... Rudini kwenye misingi ya Kitanzania iliyowekwa na CCM ( Afro shirazi + TANU)