Jamani kuna masufuria ninayahitaji ya kkupikia vyakula vya mashughuli zenye uwezo kuanzia kilo 50 hadi mia katika mtandao unaoitwa jumia nimejaribu kuwaandikia ili niwe na uhakika na ninachokifanya wamenijibu chakufanya lip tu ,utatumiwa vitu vyako, je jamani mna nishauri vp ?
Ni uhakika au wanataka kunipiga changa la macho?.!!!
Ni uhakika au wanataka kunipiga changa la macho?.!!!