Mtandao wa Selcom

Mtandao wa Selcom

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Kwa watumiaji wa mtandao wa Selcome hembu mtujuze kuhusu huu mtandao,nimeona bei zake ziko poa kwa kutumia vocha zao za Uhuru one unaweza kurecharge kwa saa kwa shilling elfu moja na masaa ishirini na nne kwa elfu tatu,sasa nataka kufahamu network coverage yake,speed yake pale unaposurf,upload au download na je kinachoangaliwa ni muda tu ulionunua au ni matumizi kwa mfano kama nataka kudondosha files zangu je kuna kikomo kiasi kwamba huduma inasitishwa hata kabla ya muda wake kutokana na kutumia kuzidi kiwango au naweza kufanya vyovyote hadi muda ufike ndio huduma itasitishwa,tafadhali tujuzeni
 
Back
Top Bottom