Mtandao wa TAUSI na mfumo wa TRA umekufa ama kuna njama

Mtandao wa TAUSI na mfumo wa TRA umekufa ama kuna njama

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,107
Reaction score
9,671
Ni wiki sasa mfumo wa kukata Leseni za biashara kupitia TAUSI haufanyikazi na hata ule wa TRA haupo sawa. Je kuna tatizo ama ndiyo tujiandae kukadiliwa kama zamani na kupata leseni za biashara kutoka Halmashauri kuwa za kitabu.
 
Yaani mfumo wa TEHAMA wa taasisi yoyote ya serikali sio wa kuuwekea guarantee,anytime unakulaza na viatu😁😁
 
Ni wiki sasa mfumo wa kukata Leseni za biashara kupitia TAUSI haufanyikazi na hata ule wa TRA haupo sawa. Je kuna tatizo ama ndio tujiandae kukadiliwa kama zamani na kupata leseni za biashara kutoka Halmashauri kuwa za kitabu.
Achana na hiyo njoo ofisini tusaidine.
 
Sijajua ulipo ila mimi tarehe 12 mwezi huu nililodge maombi ya leseni ya liquor kupitia Tausi na tarehe 14 nimepata leseni.
 
Back
Top Bottom