F F4B JF-Expert Member Joined Jan 13, 2022 Posts 336 Reaction score 429 Jul 15, 2023 #1 Heading inajieleza wana jamvi, Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
Heading inajieleza wana jamvi, Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 15, 2023 #2 Wanazingua sana karibu Airtel
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Jul 15, 2023 #3 F4B said: Heading inajieleza wana jamvi hawa TIGO huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri. Click to expand... Mbona unatufokea wanajamvi? Hata salamu hakuna
F4B said: Heading inajieleza wana jamvi hawa TIGO huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri. Click to expand... Mbona unatufokea wanajamvi? Hata salamu hakuna
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Jul 15, 2023 #4 Dp world
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jul 15, 2023 #5 Tigo ina unafuu maeneo ya mjini tu. Ila kwa maeneo ya Vijijini, internet yake iko chini mpaka basi.
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Jul 15, 2023 #6 Mimi nimepiga hadi simu kuulizia hili tatizo lkn hakuna majibu ya kueleweka. TIGO BADILIKENI vinginevyo mtaishia kuwa kama ZANTEL mliowanunua!
Mimi nimepiga hadi simu kuulizia hili tatizo lkn hakuna majibu ya kueleweka. TIGO BADILIKENI vinginevyo mtaishia kuwa kama ZANTEL mliowanunua!
Madueke JF-Expert Member Joined Jul 5, 2023 Posts 318 Reaction score 379 Jul 15, 2023 #7 Voda imekaa kizee kizee lakini ukienda trip za vijijini wanasevu sana😎😎😎tigo inaserch mpaka sakata la bandari linaisha haijaleta mlejesho
Voda imekaa kizee kizee lakini ukienda trip za vijijini wanasevu sana😎😎😎tigo inaserch mpaka sakata la bandari linaisha haijaleta mlejesho