Mtandao wa Tigo jumbe za sms zinakwama hewani au haziendi kabisa, shida nini?

Mtandao wa Tigo jumbe za sms zinakwama hewani au haziendi kabisa, shida nini?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Watu wengi wameripoti sms kwa kutumia mtandao wa Tigo zinakwama hewani kwa mud mrefu kabla ya kufika au haziendi kabisa moja kwa moja;

Hii ni mbaya sana kwa sababu SMS zingine ni crtical zifike kwa muda muafaka vinginevyo unavuruga kabisa utaratibu wa maisha wa kila siku.

Unaweza ukahisi mtu amekudharau kwa kutojibu sms zako kumbe amekujibu ila tu hazijakufikia, na yeye pia anaona umemchunia, basi ni shida.

Majibu tafadhali
 
TIGO washenz kwa kweli. Nimejiunga kifurushi mpak Leo sijakitumia wiki Sasa inakata natumia dakika tuu BANDO na SMS situmii,
Yani hata google siingi, inasema "access point names setting are not available for this user"

Kama ni uchaguz Mbona voda na airtell hakun shida?
 
TIGO Washenz kwa kweli
Nimejiunga kifurushi mpak Leo sijakitumia wiki Sasa inakata natumia dakika tuu BANDO na SMS situmii,
Yani hata google siingi
inasema "access point names setting are not available for this user"

Kama ni uchaguz Mbona voda na airtell hakun shida ?
Hawa ni kuwaandalia jopo la wanasheria tu kuwa fix
 
Back
Top Bottom