FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unawatukana bure, mitandao yote sms zaidi ya 4 hazifiki kwa mlengwa. Uoga wa CCM ndiyo umetufikisha hapo kuanzia kwenye internet hadi SMS.Wamekua wapuuzi kweli jana nilituma text leo hasubui naambiwa aijafika ety
Mi nimewauliza tigo kupitia jukwaa, sioni shida kwa hilo.Unatuuliza sisi kada mtiifu wa chama! Kasifie flyover message sio maendeo
Hawa ni kuwaandalia jopo la wanasheria tu kuwa fixTIGO Washenz kwa kweli
Nimejiunga kifurushi mpak Leo sijakitumia wiki Sasa inakata natumia dakika tuu BANDO na SMS situmii,
Yani hata google siingi
inasema "access point names setting are not available for this user"
Kama ni uchaguz Mbona voda na airtell hakun shida ?
Hujui ulisemalo, hayo ni maagizo toka CCMHawa ni kuwaandalia jopo la wanasheria tu kuwa fix
Ishu sio wanasheria mkuu, ishu ni mahakama za Pakistan paleHawa mbwa ni kuwaandalia jopo la wanasheria tu kuwa fix
Kwa mahakama zipi mzee baba?Hawa mbwa ni kuwaandalia jopo la wanasheria tu kuwa fix