FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Ila kwa hili la sms wamezidi sasaIla meko ana roho mbaya sana. Anapambn na tekinolojia
Aisee!yani TIGO ni mtandao wakichoko sana
Nimesajili laini ya voda kwa ajili ya text tu na haijawahi nizingua yote hii sababu tigo inanitesaHata voda ni the same
Kwamba Tigo wanatufanyia kusudi sio?Nimesajili laini ya voda kwa ajili ya text tu na haijawahi nizingua yote hii sababu tigo inanitesa
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Tigo tangu tarehe 27 wanakipa sms 5 tu kwa siku ukimaaliza baaas hadi keeeeeeshooooWalianza internet, sasa wamehamia Sms wakimaliza hapo watahamia hata simu zitakuwa haziwaki!
Tigo tangu tarehe 27 wanakipa sms 5 tu kwa siku ukimaaliza baaas hadi keeeeeeshoooo
Ila miaka hii mitano tutaona miradi mikubwa sana ikitekelezwa, nasubiri kwa hamuMitano tena! ✊🏽