Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Mm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo.
Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline.
Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa unatumia awali kinasimama.
Mara nyingi dakika zikibaki 50 nilikuwa nanunua kipya na kama binadamu mwingine nakuwa napiga ilikumaliza hizo dakika kabla ya siku kufika,kumbe natumia kifurushi kipya.
Hii imenifanya nitake kujua kwa mitandao yote au kwa watu wote au mm tu?
Mwisho nawasalimu sana