Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Baba lao AirtelMm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo.
Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline.
Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa unatumia awali kinasimama.
Mara nyingi dakika zikibaki 50 nilikuwa nanunua kipya na kama binadamu mwingine nakuwa napiga ilikumaliza hizo dakika kabla ya siku kufika,kumbe natumia kifurushi kipya.
Hii imenifanya nitake kujua kwa mitandao yote au kwa watu wote au mm tu?
Mwisho nawasalimu sana
Mda mrefu sana mamlaka zipo kimya na watumiaji tupo kimya pia na zile kesi ni kama wameshinda juu ya vifurushi na uhuru wa mtumiaji.Hii inaitwa wamiliki wa mtandao wa kampuni ya Tigo wanaupiga mwingi au sisi Raia ndiyo tunapigwa na kitu kizito [emoji848]
Karibu halotel huku ukiongeza huwa kinakiupdate kifurushiMm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo.
Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline.
Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa unatumia awali kinasimama.
Mara nyingi dakika zikibaki 50 nilikuwa nanunua kipya na kama binadamu mwingine nakuwa napiga ilikumaliza hizo dakika kabla ya siku kufika,kumbe natumia kifurushi kipya.
Hii imenifanya nitake kujua kwa mitandao yote au kwa watu wote au mm tu?
Mwisho nawasalimu sana
Maeneo niliyopo halotel haina nguvu sana hasa jioni kuanzia saa 12 hadi saa 2 kasoro. Jua linapozama na mtandao unazama pia ola baada ya saa moja mtandao unarudi hope wanatumia solaKaribu halotel huku ukiongeza huwa kinakiupdate kifurushi
Mda mrefu sana mamlaka zipo kimya na watumiaji tupo kimya pia na zile kesi ni kama wameshinda juu ya vifurushi na uhuru wa mtumiaji.
Watakwambieni hamieni RwandaHii inaitwa wamiliki wa mtandao wa kampuni ya Tigo wanaupiga mwingi au sisi Raia ndiyo tunapigwa na kitu kizito [emoji848]
Na hili hadi tuhamie Rwanda?Watakwambieni hamieni Rwanda
Sasa kama wanazidi kufanya PROFIT MAXIMIZATION at the lowest & poorest possible input, sie tufanyeje?Na hili hadi tuhamie Rwanda?