Mtandao wa tigo ni Wezi wa Data

Mtandao wa tigo ni Wezi wa Data

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Leo mimi mwenyewe ni mwathirika wa wizi wa bundle unaofanywa na tigo. Yaani kudownload nyimbo 3 ambazo jumla hazifiki 20MB na kutumia JF na Whatsapp. Nacheck muda huu nina 34MB katika one GB nliyokuwa nayo asubuhi.

Huu ni uhuni na wizi wa kiwango kikubwa sana. Hakuna kitu ambacho nmefungua kusema kimekuwa kikitumia data katika back ground nikiwa sijui. Huu ni uhuni..na hiyo 34MB haifungui hata page ya google.
 
Back
Top Bottom