KERO Mtandao wa tiGO umekumbwa na changamoto Kyela takriban wiki mbili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mtandao wa tiGO ukanda wa Mbeya Kyela umekuwa na changamoto sana takriban wiki mbili sasa kuanzia muda wa saa mbili usiku, changamoto hii ni simu kupatikana kwa shida, kutosikilizana vizuri na message kuchelewa.

Naomba mtandao wa tigo mliangalie hili
 
Naamini mtasaidiwa, huwa inatokea mara moja moja mtandao hauwi sawa.
 
Kila sehemu sasa hivi tigo ni konokono
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…