Mtandao wa Tigo unasumbua tangu juzi

Mtandao wa Tigo unasumbua tangu juzi

Washenzi sana bundle tumeweka na internet unakata kila saa na muda wa wao kukata bundle ukifika wanakata tu bloody fools.
 
nahama kwa kelele, nichukue na wenzangu tuende voda
Mhhhh! Utaiweza bei ya voda? Mb 300 buku elfu 3. Na wenyewe ni hodari kukata. Solution ni kuwashitaki kwa waziri ndungule ambaye naye yamemshinda anasubili ku chalamila.
 
Karibuni vodacom, vifurushi vya gharama lakini mtandao bora na imara
 
Tigo wapumbavu sana. Huwa naungishwa na voucher za 10,000/= kila mwezi, both me n the rest of staff

Tangu juzi tunatuma message haziendi mpaka ikabidi niingie tena gharama za kujiunga na messages za voda. Ukicall mtandao unasumbua.

Yaani wao wanachojua ni kurusha tu matangazo yao yasioisha. Bora kubaki na voda na kujiunga mtandao mwingine.

Tigo ni mtandao wa hovyo sana

Tigo Tanzania
 
CUG
 
Wameajiri IT au madreva wa bodaboda siku ya nne network inasumbua.
 
66
Tigo wapumbavu sana. Huwa naungishwa na voucher za 10,000/= kila mwezi, both me n the rest of staff

Tangu juzi tunatuma message haziendi mpaka ikabidi niingie tena gharama za kujiunga na messages za voda. Ukicall mtandao unasumbua.

Yaani wao wanachojua ni kurusha tu matangazo yao yasioisha. Bora kubaki na voda na kujiunga mtandao mwingine.

Tigo ni mtandao wa hovyo sana

Tigo Tanzania
na izo message za matangazo, kerrooo
 
Back
Top Bottom