Mtandao wa tiGO waleta huduma ya internet fiber

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
📣Tumekuletea Fiber to Home: intaneti ya uhakika, isiyo na kikomo na yenye kasi zaidi Tanzania.💫

Huduma hii mpya kutoka #Tigo, inakuwezesha kuunganisha nyumba, biashara, shule, chuo, ofisi yako na intaneti ya uhakika bila kikomo na kukufungulia ulimwengu wa Kidigitali🌍 kwa gharama ya kuanzia Tsh 70,000/=.

Ili kufurahia Fiber to Home wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa wateja 100 au tembelea #TigoShop karibu yako.

Jiunge na Fiber ufurahie kasi ya WOW yenye;
📌Intaneti bila kikomo
📌Intaneti ya Uhakika
📌unganishwa kirahisi
📌Huduma kwa wateja masaa 24

 
Postpaid au prepaid?
 
Jiunge na Fiber ufurahie kasi ya WOW yenye;
📌Intaneti bila kikomo
📌Intaneti ya Uhakika
📌unganishwa kirahisi
📌Huduma kwa wateja masaa 24
  1. Kwanini huku kwingine mnatukomesha?
  2. Kwanini huku kwingine inasuasua
  3. Kwanini huku kwingine tunasumbuliwa
  4. Kwanini mara nyingi huduma kwa wateja ni ya kibabaishaji
 
  1. Kwanini huku kwingine mnatukomesha?
  2. Kwanini huku kwingine inasuasua
  3. Kwanini huku kwingine tunasumbuliwa
  4. Kwanini mara nyingi huduma kwa wateja ni ya kibabaishaji
Polee sana 🤣😁
 
Hiyo 70,000 ni kwa mwezi?
 
Msumi ipo kwenye list yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…