Unamshtakia kwa nani labda? Bongo na wapongo ni wavulivu tu sio kwamba wanapenda itokee hivyoNitawashitaki naona imekuwa too much.
Unapakua pilau au?Na leo tena, mida ileile upo down. Itakuwa wanafanya kusudi, asubuhi mapema saa moja unarudi. Hii nchi hii.
Hapana. Huko nilishatoka zamani sana. Mi mtu mzima. Hayo mambo ya kishetani sina.Unapakua pilau au?