Ndugu wana jamii wote taarifa niliyoipata hivi punde hali ni mbaya sana ndani ya TTCL na kila siku iendayo kwa Mungu basi nyaya za simu za TTCL zinaibiwa na kusababisha hasara kubwa kwa TTCL na wateja wengi hasa wa INTERNET kuksoa huduma kabisa.Kwa mujibu wa mtonyaji huyo inaonekana baada ya TTCL kukabidhiwa mkongo wa Taifa na kubadilisha mawimbi na kupitia fiber inaonekana internet ya TTCL ina kasi kubwa sana,
Na ni tishio kwa makampuni mengine yanayotoa huduma za internet hivyo ukataji huo wa nyaya za simu ni hujuma ili kuhakikisha wateja wanaikimbia TTCL na kampuni kufa kabisa.Mtonyaji huyo aliendelea kusema na kulaumu uongozi wa juu kuwa hawafanyi juhudi ya kushirikiana na police jamii kwani pamoja na mkuu mmoja wa polisi kupewa rasmi habari haikutangazwa kwenye vyombo vya habari na matukio yanaendelea kila siku hasa dsm sehemu zenye wateja wakubwa wanaoilipa ttcl vizuri.Binafsi naomba USALAMA WA TAIFA,WAZIRI WA SAYANSI NA MAWASILIANO,BODI YA TTCL NA RAIS MUINGILIE KATI KWANI HUJUMA YA MTANDAO IMEZIDI SANA.