Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Ninatumiaga vpn lakini leo imekataa kabisaKwani hujui bila VPN huingii ina kama mwaka hivi? Au ndio upo nyuma ya mda
Ndio najua na natumiaga VPN lakini leo inegomaWeka VPN, ni Mwaka na zaidi tunaishi hivo. Hata Page za Serikali zinatumia VPN.