Mtandao wa ufadhili wa Alshaabab wafumuliwa hadi Afrika Kusini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wamenaswa wana habari, mawakili, wana biashara, wanafunzi wa vyuo vikuu n.k. Hii imefanikishwa baada ya ufuatiliaji wa mawasilano ya simu baina yao wote na pia washukiwa kuhojiwa na kuumbuana wenyewe kwa wenyewe, hali kadhalika, ushurikiano baina ya wana usalama wa mataifa mbali mbali, hivyo kama hapo Bongo unajijua uhusika wako kwa namna moja au nyingine, ikimbie nchi mapema maana na huko mtafuatwa.

Wale huwa mnakesha mkichekea na kusifia mauaji ya hawa magaidi, msidhani ni kazi ngumu sana kwa nyie kupatikana kisa mumejficha kwa ID, usalama wa taifa wakipania kuwakamata, mtakutwa gheto na simu zenu hizo mkisifia alshabaab humu JF.

------------------------------------------------

Dusit terror attack suspects in a Milimani court yesterday /COLLINS KWEYU

A suspect linked to the Dusit terror attack received Sh9 million from South Africa in three months and sent it to Somalia, the Anti-Terror Police Unit have said.
Twenty one people, including a GSU officer, were killed in the January 15 attack.
The cash was received through M-Pesa. Hassan Abdi Nur has 52 M-Pesa agent accounts. Fourty seven were registered between October and December last year, each with a SIM card. He used different IDs to register the SIM cards.
ATPU’s Inspector Monicah Githaiga on Wednesday said her team is in the process of obtaining the SIM cards subscriber details.
These are the agents that received the money, which was later withdrawn at the Diamond Trust Bank, Eastleigh branch, before it was wired to Somalia.
Nur received the money using two handsets and made calls to Somalia immediately after receiving the cash.
He runs a tour firm and was arrested along Waiyaki Way, Westlands, on Tuesday. Four other suspects were arrested on Tuesday. They are lawyer Abdinoor Ismael, journalist Ismael Ambitham, Ali Khamis and businessman Faisal Mohamed.
Ismael, a graduate of Kenya School of Law and who is undergoing pupillage, has received over Sh100 million. The ATPU believes the cash was used to finance terrorism activities.
Ambitham was in constant communication with slain lead attacker Ali Salim Gichunge, who died during the attack and his spouse Violent Kemunto Omwoyo.
Githaiga yesterday said Ambitham’s phone led to his arrest on Tuesday after detectives established his communication with the Gichunges. The suspect works for Horizon TV as a social media representative.
Khamis is a marketing manager for the Horizon TV. He and Ambitham were in active communication with individuals in Somalia.
Mohamed, who runs a business, was in constant communication with both Nur and Gichunge. He is believed to have been contracted to deliver parcels to Dusit Hotel complex.
Detectives say during their investigations, they established Mohamed was involved in planning the Garissa University attack on April 2, 2015.
The manager of the bank where Nur was withdrawing the money,, Sophia Mbogo, was arrested for failing to report Nur’s suspicious transactions.
Nur is said to have made huge withdrawals in short intervals, which Mbogo ought to have reported to relevant authorities, but there is no indication she did so.
The ATPU was yesterday seeking 30 days custodial orders to continue with investigations. The anti-terror unit says all the six suspects were arrested for aiding and abetting the terrorist attack, especially facilitating the movement of finances.
Senior principal magistrate Martha Mutuku directed the defence to file response affidavits today.
Dusit terror suspect got Sh9m on M-Pesa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
WAKENYA KWA MISIFA.
hadi sisi wa mitandaoni mna uwezo wa kutukamata?
TUPENI BREKI.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sio Wakenya tu, fahamu utandawazi umeifanya dunia kuwa kijiji, hapo ulipo na kimeo chako usidhani ID yako inakuficha sana, ushirikiano wa usalama wa taifa baina ya haya mataifa ni mkubwa zaidi ya unavyofikria, ukichochea na kusifia ugaidi, utashangaa sana hodi ikipigwa ghetoni kwako tena huko huko Bongo na watakaobisha hodi ni Wabongo wenzio.
 
acha kutisha watu wewe.
NENDENI KWANZA MKAMALIZANE SOMALIA NA AL SHABAB
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini kila jambo mwalifanya habari?. wenzenu huwa wana classify info. zinatolewa baada ya muda

Mengi yamekua classified, ukiona haya unayasoma ni yale yameachiwa hadharani kwa kusudi fulani. Sasa hivi watu wana hasira, lazima waonyeshwe matokeo, hata kipindi cha 911 Marekani, ilimbidi Bush afanye kweli ili Wamarekani watulize hasira.
 
Hawa wote wauliwe tu kwani hawana faida na nchi zao, na kama ikiwezekana waziue pia na familia zao ili asibaki hata mkereketwa mmoja wa kundi lao la kijinga.
 
!
!
Mlivyoyakoroga Ndivyo Mtakavyoyanywa. Pambaneni Na Al Shabab Wenu Huko Mtuache Na Tupambane Na Dikteta Wetu.
 
Rubbish.. Lengo lake ilikuwa ni bongo una matatizo kichwani Nyie pambaneni nao hao Al-Shabab tuacheni wabongo na jeshi letu imara
 
Mengi yamekua classified, ukiona haya unayasoma ni yale yameachiwa hadharani kwa kusudi fulani. Sasa hivi watu wana hasira, lazima waonyeshwe matokeo, hata kipindi cha 911 Marekani, ilimbidi Bush afanye kweli ili Wamarekani watulize hasira.
sina utaalamu na haya mambo ila hao watu wanawekwa kwenye hatari na hasira zaidi dhidi ya watu.
 
Hatua nzuri endelezeni mapambano those involved ikidhibitika wapelekwe sehemu moja inayowafaa, hell.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Wafadhili ndio huwa hatari hata kuliko wanaojlipua, yaani mtu unatuma mamilioni zikatumike kuchinja watu.
 
sina utaalamu na haya mambo ila hao watu wanawekwa kwenye hatari na hasira zaidi dhidi ya watu.

Siku zote panapotokea mauaji ya kigaidi, serikal huwa inahaha kuonyesha matokeo maana hasira inazidi kupanda kwenye jamii, hata hapo Tanzania, nakumbuka mauaji yalivyozidi kuwaka Kibiti, ilibidi makamanda kufanya mikutano na vyombo vya habari kutaarifu kila kitu ili kurejesha na kuboresha imani miongoni mwa wananchi waliokua wameanza kujawa na hamaki.
 
Wafadhili ndio huwa hatari hata kuliko wanaojlipua, yaani mtu unatuma mamilioni zikatumike kuchinja watu.
Natafakali nashindwa kuelewa why wanafanya hivyo

Inatia hasira sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…