Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
They are used like toilet paper, then flushedNaona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===
Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili kupeana mikakati na mbinu mbalimbali za kufikia lengo la kufanikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mgeni rasmi katika tukio hilo ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi ambapo pamoja na mambo mengine wanachama wa mtandao huo watapata mafunzo katika semina hiyo kutoka kwa viongozi wa Mikoa na Wilaya wa TK Movement.
Mtandao huo unajihusisha na kuhamasisha jamii hususani vijana kufanya mapinduzi ya kifikra na uchumi nchini ili kujenga Taifa lao la kesho.
View attachment 3324323
View attachment 3324324
Source: TBC
Unategemea mtu kama Lucas Mwashambwa atakuwa na akili timamu?chawa wawe na akiba ya maneno.
Wajandae kwa yeyote awe mama au baba wote ni wazazi.
Jukwaa la wanawake halafu mnavalishwa T-shirt na kofia za SSH huo sasa mbona ni usenge sana tuNaona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===
Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili kupeana mikakati na mbinu mbalimbali za kufikia lengo la kufanikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mgeni rasmi katika tukio hilo ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi ambapo pamoja na mambo mengine wanachama wa mtandao huo watapata mafunzo katika semina hiyo kutoka kwa viongozi wa Mikoa na Wilaya wa TK Movement.
Mtandao huo unajihusisha na kuhamasisha jamii hususani vijana kufanya mapinduzi ya kifikra na uchumi nchini ili kujenga Taifa lao la kesho.
View attachment 3324323
View attachment 3324324
Source: TBC
Wanakutana huko kwa gharama za nani fedha za uma zinatumika vibaya.Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===
Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili kupeana mikakati na mbinu mbalimbali za kufikia lengo la kufanikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mgeni rasmi katika tukio hilo ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi ambapo pamoja na mambo mengine wanachama wa mtandao huo watapata mafunzo katika semina hiyo kutoka kwa viongozi wa Mikoa na Wilaya wa TK Movement.
Mtandao huo unajihusisha na kuhamasisha jamii hususani vijana kufanya mapinduzi ya kifikra na uchumi nchini ili kujenga Taifa lao la kesho.
View attachment 3324323
View attachment 3324324
Source: TBC
Wkt wanafunzi wanakaa chinii alooo....Wanakutana huko kwa gharama za nani fedha za uma zinatumika vibaya.
Kuna dada mmoja anajiita Jane Chitojo ndio mmiliki wa ujinga huu. Ukifuatilia ukaribu wa huyu Dada na Rais utakuta kuna uovu. Puuzi sana hili dada kila mara lipo busy na Samia hata mumewe ana muda nae.Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.