Mtandao wa VodaCom ukoje huko kwenu?

Mtandao wa VodaCom ukoje huko kwenu?

Nkimeconfirm leo voda inazingua kwa dar, moshi n arusha. Hivyo, nina conclude kuwa leo mtandao kwa upande wa voda ni dhofulhali. Ni shidaaah. Tuvumilie, ila wameniwastia mbz zangu na malengo yangu kwa leo
 
Naona almost kila mahali mtandao hakuna.

Wahusika nini kinaendelea??
 
kupiga ni sifuri ila kama una bandle ambalo ulishanunua, inafanya kazi
 
Back
Top Bottom