Mtandao wa Vodacom unasumbua sana kwa sasa

Mtandao wa Vodacom unasumbua sana kwa sasa

Vodacom sasa hivi mtandao kupotea sio jambo la ajabu. Ni kawaida... labda mtandao ukikaa wiki haujasumbua ndio ushangae.
 
Wakuu...hivi ni mitandao yote saivi au ni huu voda tu ndio wa kijinga saivi...
Wana tatizo, nadhani kulikuwa na rushwa wakati wanabadili mfumo kuweka vitu Fulani hivyo ikatokea aliyeleta mfumo hakufundisha wanaohusika so troubleshooting inakuwa shida nasikia ni kama wanahujumiwa. Yaani aliyesimamia tenda ni jambazi
 
Duu
 
Tusubiri starlink waanze kutoa huduma zao. Tutasahau hizi takataka nyingine.
 
Si majuzi kulitokea shida kwenye mtandao wao watu walipolalamika eti ndipo baadae wakaja na tangazo la kuwapoza wakidai wanaboresha mtandao. Sasa waliboresha nini?
 
Vodacom wapo vzr
Ila we mtoto kila ninapopita nakukuta nimebanwa upwiru vua nguo buy the way Vodacom wapo vizuri km wewe na leo ikishinda naomba utimize ahadi ya kuvua nguo humu humu JF tukuone mpaka ndani
 
Vodacom kwa sasa wanapumulia mashine. Muda huu hapa nipo kubembelezana na internet yao. Mara ikate, unaibembeleza kidogo then inarudi! Halafu inakata tena!!
 
Wana tatizo, nadhani kulikuwa na rushwa wakati wanabadili mfumo kuweka vitu Fulani hivyo ikatokea aliyeleta mfumo hakufundisha wanaohusika so troubleshooting inakuwa shida nasikia ni kama wanahujumiwa. Yaani aliyesimamia tenda ni jambazi
KakaJambazi si yupo humu?
 
Ukifanya Transaction usiku ujue imeliwa,anything with LIPA Namba au Selcom lazima wakulize,Voda iko ICU
Mkuu wiki tatu zilizopita, nilienda hoteloni, baadae ya kula nikashindwa kulipa Kwa lipa na hata kutoka bank kuja lipa namba.

Nilikaw Hadi saa 5 usiku ndipo mtandao ukarudi
 
Back
Top Bottom