Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

suluhisho ni kua muaminifu na kubaki njia kuu
 
Mimi nina kitu kimoja ,nikikutumia meseji whatsapp halafu ikachukua muda mrefu bila kujibu halafu nakuona upo online basi naifuta ila si kwa ubaya naifuta kwasababu umeiona si ya muhimu.
 
Mimi nina kitu kimoja ,nikikutumia meseji whatsapp halafu ikachukua muda mrefu bila kujibu halafu nakuona upo online basi naifuta ila si kwa ubaya naifuta kwasababu umeiona si ya muhimu.
Usiwe unafanya hivi! Hii tabia siipendi jamani, japo kuna kipindi nilikuwa namfanyia mtu! Bora umpuuze tu akikujibu kufuta ni kama unalower pride hivi..🤔
 
Hapo ujue Tu wewe sio kipaumbele chake, inabidi utathimini upya Uhusiano wako n unitumie hisia badla yake weka akili
 
Wee hujui viswaswadu ndio vinaongoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…