Ndio una muignore tu hakuna haja ya kumuonesha unaumizwa na kukaa kwake kimya! Ukifuta unampa ushindi..! Mpuuzie tu au muweke archive!Hahaaa dawa ni hiyo ,ujue kuna wengine wanajiona kina JEIZIII au BIYONSE.
Mimi siwezi kufanya hivyo!Mwnyw nimeshangaa 😂
Tuache 😛Na wale wakutimia WhatsApp business ikiwa ni "business less"😂
Hana muda nawewe alafu ukimwambia atasema ubusy wakati anapost status nyingi kama spoku za tyre za baskeli.Ukishajua kuwa mwenzio ni mzito sidhani kama kuna tatizo. Tatizo ni pale mtu anapokuwa active kuchat na watu, anaweka status kila siku ila wewe anakublue tick
Vijana wanateseka sana 🤣🤣Status nyengine ni screenshot za watu waliocomment kwenye status yake iliyopita
Ila chat zako sasa ni kilio
Si kama wewe kichogyo tuNi kwamba mtu anaona ujumbe. Afu hajibu anakausha kimya, na yuko online.
Kisu kwa bone sio 😂Tuache 😛
ILa hatukushindi wewe kwa mama kijacho 😂😂😂Vijana wanateseka sana 🤣🤣
Kapoa kalala nipo jf naperuziILa hatukushindi wewe kwa mama kijacho 😂😂😂
One chance one goal au sioKapoa kalala nipo jf naperuzi
Si ndio! Sema mimi nimeokoka sasa hivi sitaki mambo ya visu😂Kisu kwa bone sio 😂
Kwa mara ya kwanza leo nimekuchoma bado 😂😂
Uhakika mkuu nitawaletea wish list yangu finalist ni huyu mama kijachoOne chance one goal au sio
Usifanye hivyo, labda yupo ONLINE anacheza AVIATOR.Mimi nina kitu kimoja ,nikikutumia meseji whatsapp halafu ikachukua muda mrefu bila kujibu halafu nakuona upo online basi naifuta ila si kwa ubaya naifuta kwasababu umeiona si ya muhimu.
Mkuu, wengine huwa hatujisikii vizuri kabisa kumbluetick mtu, na sio kila meseji inakuwa ya kujibu, hivyo unaona bira kusomea mafichoni tu, Vingine ni lazima uchukue muda kuvijibu.Kuzuia blue tick ni kama akili ya Popo tu kujifanya ananyea mbingu, hata wewe ukitumia mtu msg hautoona blue tick.
Sasa swali dunia inakuhitaji wewe zaidi au wewe ndio unahiitaji dunia zaidi? Ukipata jibu utajiona ni mjinga tu.
Achana na demu wanguJihan dimack 🥶🥶
Sidanganyiki 😂Si ndio! Sema mimi nimeokoka sasa hivi sitaki mambo ya visu😂
Niamini mimi😃Sidanganyiki 😂
Nitajua tu🤠Niamini mimi😃
Anakuwa yuko bize na mambo muhimu ya statusHana muda nawewe alafu ukimwambia atasema ubusy wakati anapost status nyingi kama spoku za tyre za baskeli.
Mawasiliano ni nguzo muhimu sana kwenye mahusiano ila wengi hupuuzia.