kajima
JF-Expert Member
- Dec 5, 2009
- 1,289
- 513
Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza school of Journalism and Mass Communication campus ya nje UDSM (waliokosa mikopo ila wapo kwenye pending list), wamekuwa wakiombwa rushwa na baadhi ya viongozi wa wanafunzi chuoni hapo ili waweze kusaidiwa kupata mikopo.
Taarifa nilizopata zinasema, waliofanya hivyo kwa sababu ya uhitaji wamepewa mikopo (baada ya kutoa rushwa)
Ukidadavua jambo hili la kusikitisha, utaona kwamba huyu kiongozi mbaya atakuwa na ushirikiano na mtu fulani ndani ya Bodi ya Mikopo
Wanajamii Naomba kuwasilisha