Mtandao wa "wizi" Bodi ya Mikopa

kajima

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2009
Posts
1,289
Reaction score
513
Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza school of Journalism and Mass Communication campus ya nje UDSM (waliokosa mikopo ila wapo kwenye pending list), wamekuwa wakiombwa rushwa na baadhi ya viongozi wa wanafunzi chuoni hapo ili waweze kusaidiwa kupata mikopo.

Taarifa nilizopata zinasema, waliofanya hivyo kwa sababu ya uhitaji wamepewa mikopo (baada ya kutoa rushwa)

Ukidadavua jambo hili la kusikitisha, utaona kwamba huyu kiongozi mbaya atakuwa na ushirikiano na mtu fulani ndani ya Bodi ya Mikopo

Wanajamii Naomba kuwasilisha
 
Njoo na chanzo na ushaidi wa kutosha wa taarifa yako,Kama hauna basi hii thread haina tija ndani ya jukwaa.Moderator will you please get this thread out here? Thanks.
 
Hivi wewe ni mwaka wa ngapi hapo chuo, taarifa yako haijadiliki, tafuta ushahidi wa kutosha kisha uilete hapa, au ipeleke takukuru.
ila ninashukuru kwa taarifa
 
Njoo na chanzo na ushaidi wa kutosha wa taarifa yako,Kama hauna basi hii thread haina tija ndani ya jukwaa.Moderator will you please get this thread out here? Thanks.

Habari yoyote inaanza na tetesi bana!, sasa na wewe ni kazi yako vilevile kutafuta ushahidi. sio kuropoka tu!!. kama hujaridhika unapita kimya kimya!. alaah!!!!!!!!!.
 
Habari yoyote inaanza na tetesi bana!, sasa na wewe ni kazi yako vilevile kutafuta ushahidi. sio kuropoka tu!!. kama hujaridhika unapita kimya kimya!. alaah!!!!!!!!!.

if you don't learn to gather adequate informations before you publish anything then you will be in great danger in this grobalized world,try to have every details and stay away with rumors cause they will get you know no where.
 
Do you think what we are doing here in JF is publishing!!! Ndio mana nikasema kama hujaridhika na taarifa yoyote pita kimya kimya!.
 
Do you think what we are doing here in JF is publishing!!! Ndio mana nikasema kama hujaridhika na taarifa yoyote pita kimya kimya!.

nikikuacha na mawazo yako mgando na yaliyojaa utandu basi sitakua great thinker maana lazima tupeane taaluma mbalimbali tukiwa humu jf ambazo zitakutofautisha na watu ambao sio wanachama hii forum especially ya elimu.

Jifunze kuweka taarifa ambayo inajadilika na sio rumors ulizozisikia mtaani ambazo hauna ushaidi nazo wa kutosha,ili tunapotoa mchango basi huwe na tija hata kwa watakao kuja kusoma baadae hizi comments zetu ziwe na mchango kwao.Nadhani umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…