Mtandao wa YAS na roaming network wamefeli

Mtandao wa YAS na roaming network wamefeli

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
6,682
Reaction score
11,461
Habari wanajukwaa,

Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana.

Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha upo nchi tano.
Tanzania
Togo
Comoro
Senegal
Madagascar
Ila cha kushangaza huu mtandao unapotoka nje ya Tanzania hauna roaming kwa baadhi ya nchi ambapo ipo. Yani roaming ya Yas utaishia hapo Ethiopia, Kenya. Mbele ya hapo hakuna roaming.

So kwa wasafiri mnashauriwa muwe na line ya voda ambapo kila sehemu upo.

Hawa YAS hata nchi ambapo wapo hawana roaming. Bure kabsa.

Picha hapo chini line ya YAS inagoma kufanya roaming kwenye mtandao wa YAS
 

Attachments

  • Screenshot_20250227_134027_Call settings.jpg
    Screenshot_20250227_134027_Call settings.jpg
    338.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom