Mtandao wa Yas (Tigo) unasumbua

Mtandao wa Yas (Tigo) unasumbua

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
𝗠𝗧𝗔𝗑𝗗𝗔𝗒 π—ͺ𝗔 𝗬𝗔𝗦 (π—§π—œπ—šπ—’) 𝗨𝗑𝗔𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔

Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of CHI_20241128_214643_0000.png


Kampuni ya Yas ambayo zamani ilikua inaitwa TIGO Leo hii imepata changamoto toka mchana huduma mbalimbali zimekwama kwa watumiaji wake.

Watumiaji wa mtandao wa Yas wamekumbwa na changamoto ya kushindwa kutumia mtandao huu Kwani yenyewe inakupa ujumbe wa Error wa connection problem or invalid MMI code unapotumia kufanya shughuli mbalimbali kama vile,



β€’ inasumbua kwenye kujiunga kifurushi
β€’ inasumbua kwenye kutuma au kupokea pesa
β€’ inasumbua kwenye kuwasha data nk.

Yas bado hawajasema lolote kuhusu changamoto hii kwani mpaka sasa mtandao huu unasumbua na kukwamisha shughuli mbalimbali za watu.

@yastanzania_

Vipi wewe mtandao wa TIGO (YAS) Uko Sawa tuachie maoni yako?
 

Attachments

  • Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of CHI_20241128_215236_0000.png
    Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of CHI_20241128_215236_0000.png
    244.8 KB · Views: 4
Maturities hela zenith nyie wezi , mtu unatuma wanakutumia meseji kuwa imefeli ukichek salio limekatwa, na customer care hampokei
 
Back
Top Bottom